Mama mmoja ambaye aliwaacha watoto wake wanne kwenye chumba cha hoteli nakwenda kupart amezuiwa kuzaa watoto wengine kwa miaka kumi na tatu.(A mother who left her four kids in a hotel room to go out partying has been banned from giving birth to more children for 13 years.) Kimberly Lightsey, mwenye umri wa miaka 30 amekubali kutoshika mimba kabla ya kufika mwaka 2025 kwa kuogopa kifungo cha miaka mitano.
Mapema aliiambia mahakama ya Bartow huko Florida kwamba alitaka kuwa na watoto zaidi. Lightsey aliwaacha watoto hao kuanzia wa mwaka mmoja hadi mwenye miaka 11 peke yao kwenye iitwayo Winter Heaven huko Florida.
Polisiwaliitwabaada yamgenikusikia kelele za watoto wakilia .Mtoto mmoja ana kifafanakupooza na alikuwa anahitaji maangalizi ya karibu sana yaani anahitaji hudumaya mara kwa mara .
Lightsey, alikuwa katika kipindi cha mangalizi yaani probation kwa miaka minne juu ya unyanyasaji wa watoto yaani child abuse toka mwaka 2009 amekamatwa na kurudishwa tena kwenye chumba.
Alikuwakawekwa katika kifungo cha ndani kwa miaka miwili na kupigwa marufuku kutoka na kuwasiliana na watoto wake huku watoto wake hao wakiwa chini ya uangalizi wa ndugu
EmoticonEmoticon