Msanii Filamu hapa nchini anae fanya poa sana akiigiza
kama teja pia zile filamu za ucheshi ambaye anajulikana kwa jina la kitale
baada ya kupata maswali mengi sana kwa mashabiki wake,sasa jumapili hii
anatarajia kufunga ndoa rasmi na kuachana na ubachela.
Kwa mujibu wa Kitale alisema japokuwa amepitia katika changamoto mbalimbali za ki maisha na amejifunza mengi na ndiyo sababu ya kufunga ndoa.
EmoticonEmoticon