Mkuu wa mkoa Mbeya Abas Kandoro amesema nawaomba wakazi
wenzangu wa Mbeya tunahitaji kubadilika ili mitizamo yetu isilenge zaidi katika
uchangiaji wa harusi, zinazogharimu mamilioni ya pesa kwa muda mfupi tunahitaji
kuchangia zaidi katika elimu kwani kuna vijana wetu hawana hata madawati ya
kukalia, yatima, wajane na wengine wengi wenye mahitaji badala ya kuchangia
harusi.
Ameyasema hayo alipokuwa anaongea na wandishi wa habari
wa mkoa wa Mbeya mwishoni mwa wiki hii
EmoticonEmoticon