Hebu tazama style ya nywele ya mbunge wa Kenya Mike Sonko.


Katika picha hapo juu ni mbunge Mike Sonko wa bunge la Kenya, ambaye ameamua kunyoa mtindo wa nywele wenye maandishi yanayosomeka "PEACE" kichwani kwake.

Previous
Next Post »