kama ingekuwa nchi kavu tungesema eneo la nungwi ni sawa na eneo hatari kama vile mlima kitonga au sekenke,kwani mchana wa leo limetokea lingine la kutokea hukohuko nungwi…
mpaka sasa taarifa zinasema watu 11 wamefariki dunia na 10 wengine majeruhi huku watu kama 11 hivi hawajulikani walipo na juhudi za kuwatafuta zaendelea.
"ajali imetokea baina ya Nungwi na Tanga, na waliokuwemo kwenye chombo walikua jumla ya watu 32, kwa habari zaidi endelea kufuatilia blog hii
EmoticonEmoticon