ASKARI POLISI AUAWA KIKATILI HUKO ZANZIBAR, KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAANDISHI
Kamishna wa Polisi Mussa Ali Mussa akifafanua jambo
katika Mkutano na Waandishi wa Habari akielezea juu ya Fujo na Ghasia
zilizotokea katika Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari
Mmoja,Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini
Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa katika Mkutano wa
Jeshi la Polisi kuelezea juu ya Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa wa Mjini
Magharibi na kupelekea kifo cha Askari Mmoja,Mkutano huo umefanyika katika
Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO
ZANZIBAR.
EmoticonEmoticon