WAFANYABIASHARA WA WILAYA MPYA YA MOMBA WAOMBA WASILAZIMISHWE KUFUNGA BIASHARA ZAO WAKATI WA MIKUTANO WILAYANI HAPO


Askari wakibishana na mfanyabiashara juu ya uhalali wakufunga biashara zao wakati wa mikutano
Mgambo akipita duka hadi duka kulazimisha wafanyabiashara kufunga na kwenda katika mukutano uliyofanyika kata ya chitete
Hapa baadhi ya wafanyabiashara wakielekea eneo la mkutano baada ya kulazimishwa kufunga biashara zao
Previous
Next Post »