RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, muda huu amemuapisha Mbunge wa Ruangwa, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
Previous
Next Post »