Juzi
mitandaoni habari iyomake headline sana kwa upande wa wasanii ilikuwa
ni habari ya Mwigizaji Jack Wolper kuvishwa pete ya uchumba.. Sasa jana
Watu wameibua jipya huku instagram imetapakaa picha ikimuonyesha
mwanaume aliyemvisha pete Jack Akiwa na Mkewe ikimaanisha tayari ana
ndoa ..
Kitu ambacho wengi hatujaelewa na wengine wakisema labda ile ya Jack akivishwa pete ni. Movie mpya..
Picha hii hapa chini!
EmoticonEmoticon