Wazza
alifunga goli hilo la rekodi la 50 katika timu ya taifa na kumfanya
sasa kuwa ni legendari wa England, heshima aliyoipata baada ya muda
mrefu sana tangu akiwa na miaka 17 alipoibuka katika timu ya taifa.
Baada
ya kufunga goli hilo la 50 dhidi ya Switzerland, mashabiki waliofurika
katika uwanja wa Wembley waliripuka na kuimba, “Rooney! Rooney! Rooney!”
huku Rooney mwenyewe akijikuta mwenye hisia kubwa baada ya kuweka
historia hiyo.
Wachezaji
mbalimbali wa zamani na sasa, kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii
wameandika kumpongeza nahodha huyo mwenye miaka 29 kwa kuandika
historia hiyo katika maisha yake ya soka.
Artikel Menarik Lainnya
ALIYETIMULIWA STARS PAMOJA NA BOSI WAKE MART NOOIJ ATUA TANZANIA PRISONS Tanzania Prisons imemnasa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Ta
Yaya Toure ametwaa tuzo ya mchezaji bora Afrika wa BBC 2015 na kuingia katika rekodi za Okocha na Kanu
Bondia Afariki baada ya pambano kumalizika
Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) limemteua Charles Boniface Mkwassa, kuwa kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania(Taifa Stars) Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania - TFF, Jamal Malinzi leo ameagana rasmi na ali
KAMATI NIDHAMU YA TFF IMEMPIGA FAINI YA MILION 5, AFISA HABARI WA KLABU YA YANGA JERRY MURO KUTOKANA NA KILE KILICHODAIWA KUTOA KAULIZA CHUKI, UCHOCHEZI NA KISIRANI Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF iliyoketi jumanne tarehe 5 Mei, 201
NHIF YAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI WA BIMA VPL
EmoticonEmoticon