
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu
Hassan, Mgombea mwenza wa ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala
Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam


Mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam

Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya
kuongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Meza
Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe
Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akifuirahia
jambo na mgombea urais-CCM Dr John Magufuli pamoja na Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana leo jijinbi Dar es salaam leo Agosti 19, 2015
katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Meza
Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe
Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.Picha na IKULU
EmoticonEmoticon