Mariah Carey anategemea kupata mtoto wa tatu.


Mariah-Carey
Mtandao wa Australian wa New Idea umeripoti kuwa Mariah Carey ’45’ na mpenzi wake ambaye ni bilionea kutoka Australia James Packer ’47’ wanategemea kupata mtoto wao a kwanza pamoja.
Taarifa hizi zinasema Mariah amegundua hivi karibuni kuwa anaujauzito na wote wana raha yakupata mtoto.
Mariah Carey bado yuko kwenye ndoa na Nick Cannon baada ya kutengana bila talaka mwaka 2014.
Previous
Next Post »