STAA wa
Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameonyesha kuanza
maandalizi kwa kijacho wake ambaye imeelezwa ni mtoto wa kike.
Diamond
na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' wanatarajia mtoto wa kike
mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond ametupia picha
akiwa na kitanda cha magurudumu kwa ajili ya mtoto mchanga.
EmoticonEmoticon