Mhe Spika Anne Makinda wakati akipokelewa uwanjani Mara baada ya kuwasili.
Mhe
Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A’Shura
Sheikh Abdullah Al Majaali aliyempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat
International Airport.
Mhe
Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake.Wa kwanza
Julia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Mhe Freeman Mbowe na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge),Mhe William Lukuvi.Wa
kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh Balozi wa Tanzania nchini Oman. Mhe
Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya siku sita.
EmoticonEmoticon