
Shimo kubwa lililopo pembezoni mwa barabara ya Upanga bibi titi jijini Dar es salaam limeendelea kuhatarisha maisha ya watumiaji wa barabara hiyo wakiwemo watembea kwa miguu wanafunzi na wazee ambapo tayari mzee mmoja amewahi kutumbukia ndani ya shimo hilo linaloendelea kuchimbika kila kukicha na kunusurika kufa baada ya kujeruhiwa hivyo mamalaka zinazohusika zimeombwa kuchukua hatua ya kuliziba kabla halijasababisha athari zaidi kwa wananchi.
EmoticonEmoticon