HONGERA SANA RAY C KWAOKOA MAISHA YA HUYU VIDEO QUEEN WA VIDEO YA NOORAH JAMANI JIFUNZENI KWA HAWA





Ray C Foundation wameanza kuyaona matunda ya kazi yao ya kuwasaidia watu walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya baada ya kumtibu video Queen wa Ice Cream ya Noorah, Doreen kwa kutumia Methadone.
Ray C amepost instagram  picha ya Doreen akionena kuwa na afya nzuri tofauti na awali walipomchukua, na kuandika ujumbe kuhusu hali ilivyo.
Doreen akiwa na Ray C kabla ya kupata matibabu ya Methadone
“Video queen aliecheza kwenye video ya Noorah Ice cream Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada ya kuanza Tiba ya Methadone......Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation..............Keep it up girl!!!Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs!”
Previous
Next Post »