Mwanamitindo Huyu Ameanza Kufahamika Kama Mpenzi Mpya Wa Justin Bieber


bb
 bb 1bb 2 bb
Aliyekuwa mpenzi wa msanii na mwigizaji Selena Gomez, Justin Bieber ameonekana kuwa karibu na binti mwingine aliyefahamika kama Yovanna Ventura ambaye ni mwanamitindo mwenye miaka 18 kutoka Spain.
Jb ameonekana naye Las Vegas alipokuwa kwenye pambano la Floyd Mayweather na baada ya hapo walielekea  California.
Previous
Next Post »