David Beckham Apoteza Nafasi Ya Juu Kwenye Top 10 Most Stylish Men,Aliyechukuwa Ndio Huyu



Hii ni orodha ya watu maarufu wenye muonekani mzuri na wanapendeza kwenye mitindo tofauti ya mavazi Marekani. David Beckham amekuwa akiongeza orodha hii kwa muda sasa na ndio nafasi iliyompa matangazo mengi ya mavazi tofauti likiwemo vazi la ndani la kiume.
Nafasi hii imechukuliwa na star wa Muziki Justin Timberlake na orodha hii imetengenezwa na Fashion One Television

jj
 
1. Justin Timberlake
2. David Beckham
3. Ryan Gosling
4. Harry Styles
5. Pharrell Williams
6. Tom Ford
7. James Franco
8. David Gandy
9. Kanye West
10. Bradley Cooper
Previous
Next Post »