Baada ya tukio la Westgate ambalo lilichukua maisha ya watu wengi, jiji la Nairobi limekumbwa na tishio jingine la aina hiyo kwenye eneo la biashara la Nakumatt Junction Barabara ya Ngong ambapo yamekutwa masanduku manne ya kubebea risasi kwenye eneo la kuegesha magari kwenye vyumba vya chini (Basement).
Masanduku hayo yalipatikana ndani ya toroli la kubebea mzigo kutoka kwenye duka la jumla la Nakumatt ambapo walioshuhudia wamesema sanduku hizo zilikuwa zimeandikwa ‘explosion’ na walipoitwa wataalam wa mabomu wakagundua kuwa sanduku ni za kubebea milimita 9 risasi za bunduki aina ya ceska ama Mp5 machine gun.
Masanduku hayo yaligundulika wakati wafanyakazi wakirudisha matoroli hayo ndani baada ya wateja kuyatumia na kuyaacha eneo la parking.
Artikel Menarik Lainnya
Rais Magufuli Asema Hatagawa Chakula cha Bure Kwa Watakaopatwa na Janga la Njaa Bila Sababu za Msingi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema serikali
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WIZARA YA AFYA Orodha ya Madaktari na Wataalamu wa Kada za Afya waliopangiwa vituo vya kazi
Ni kweli Donald Trump kawafuta kazi Mabalozi wote wa Marekani duniani? Ripoti mpya kutoka The Independent na Pa
Taarifa toka Ikulu: Rais Magufuli atoa tuzo CTI aahidi kuwaunga mkono wenye viwanda
Namba za Simu za Utoaji Wa Malalamiko Na Kero Juu Ya Huduma Za Afya Nchini Pamoja Na Masuala Ya Jinsia, Wazee Na Watoto Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayo dhamana ya kusimamia na kura
KIFAHAMU KIPINDI KIPYA CHA 'CHUKUA HATUA' KINACHOHUSU VIJANA MKOANI DODOMA Watangazaji wa kipindi kipya cha CHUKUA HATUA Happy Balisidya na Mohammed Hammie, siku
EmoticonEmoticon