KUNDI LA UAMSHO LAZUA VURUGU ZANZIBAR



Kimenuka huko Zanzibar sasa hivi baada ya Kundi la Uamsho kuleta vurugu na kuanza kupiga mawe magari ya serikali huku wakijerui wafanyakazi wa serikali .. Picha hapo juu inaonesha gari la Katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi mheshimiwa Khamis Musa likiwa limepinduliwa na kikundi hicho uamsho, katika gari hakuwemo katibu hyuo mkuu bali  alikuemo dereva wake ambae mpaka sasa hali yake inaendelea vizuri

Tutaendelea kuwajuza kinachoendelea huko zanzibar.
Previous
Next Post »