MH:SAMIA SULUH HASSANI. HONGERA MAMA
Katika uchaguzi wa kumpata makamu mwenyekiti wa bunge la katiba bi Samia Suluh Hassani ameibuka kidedea kwa ushindi wa kura 390 sawa na asilimia 74.6 kati ya kura 523 zilizopigwa ikiwa saba zimeharibika wakati mgombea mwenza Bi. Amina Abdala Amor akipata kura 126 sawa na asilimia 24.1.Kwahiyo Bi. Samia Suluh Hassani ataungana na mwenyekiti wa Bunge maalum Mh Samuel Sitta ambaye alichaguliwa jana katika kuuongoza bunge hili litakalotuwezesha kupata katiba mpya.
KS
K
EmoticonEmoticon