JESHI LA POLISI MKOA WA
MBEYA KWA KUSHIRIKIANA NA APEC WANAENDESHA MAFUNZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI @
BODABODA WAPATAO MIA NNE [400] KUHUSIANA NA USALAMA WAO, VYOMBO VYAO NA
UTENDAJI WAO WA KAZI ZA KILA SIKU. MAFUNZO HAYO YATAFUNGWA NA KAMANDA WA POLISI
MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI
ATHUMANI MNAMO TAREHE 16.11.2013 MAJIRA YA SAA
10:00HRS ASUBUHI TUNDUMA MJINI. WAANDISHI
WA HABARI NA WANANCHI MNAKARIBISHWA.
Imetolewa
na:
[DIWANI
ATHUMANI – ACP]
KAMANDA
WA POLISI MKOA WA MBEYA.
EmoticonEmoticon