HII PLACE KWA WAPENDA NYAMA HAKUNA ASIYEPAJUA, KUNAPIKWA PIA VYAKULA VYA KIAFRIKA
MNYAMA AKIWA ANAKWIVA TARATIBU KATIKA JIKO LA BWANA KAMAU BALTIMORE,MD
MTAALAMU KAMAU AKIWA KAZINI JIKONI KWAKE
BWANA KAMAU MKENYA ALIYEISHI MIAKA MINGI MAREKANI AKIWA KAZINI
MKURUGENZI WA SWAHILI TV BWANA DICKSON MKAMA AKIJIANDAA KUMHOJI BWANA KAMAU MCHOMA NYAMA MAARUFU NCHINI MAREKANI
HIKI NI CHAKULA KIKUU AFRIKA, KITU UGALI AKA SEMBE AKA NGUNA AKA JIWE AKA FUFU
www.swahilitv.info www.swahilitv.blogspot.com
EmoticonEmoticon