COMING UP SOON ON SWAHILI RADIO
"THE AJ UBAO SHOW-SWEET PETER JEETER"
MAISHA YA NDOA,MUZIKI, NA MAHUSIANO: KIPINDI CHA
REDIO KITAHUSU KUTOA
USHAURI,KUIMARISHA,KUJENGA,KUL INDA,KUJADILI,
KU-SHARE
CHANGAMOTO ZA MAHUSIANO. ITAKUWA LIVE SHOW
SIMU ZA RADIO MOJA KWA MOJA HEWANI, WATU DUNIANI
KOTE WATACHANGIA. MWENDESHA SHOW MTAALAMU
WAKO SWEET PETER JEETER WA SWAHILI RADIO
HAPA HAPA SWAHILI RADIO
www.swahilitv.info www.swahilitv.blogspot.com
EmoticonEmoticon