Mwanamitindo aliyewahi kuonekana katika Season 14 ya ABC’s reality Romance
The Bachelor Alum Gia Allemand amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 29 katika
jaribio la kutaka kujiua imebainika.
"Due to a critical loss of brain and
organ function, life support was withdrawn today. Ms. Allemand passed away
peacefully with her mother, boyfriend, and other lifelong friends by her side.
As a practicing Christian, Gia did receive the sacrament of last rites."
Siku
chache zilizopita nyota huyo alionekana mwenye afya na katika mtandao wa
Kijamii wa Instagram alionekaneka aktupia ujumbe wa Neno la Mungu kupitia Biblia.
Allemand alionekana katika Season “ the
Bachelor” akitumia jina la Jake Pavelka.
Kifo chake kimewashtua wengi nchini
Marekani waliokuwa wakimfahamu kupitia kazi zake wakiwemo wasanii wenzake
waliofanya kazi naye.
Host wa THE BACHELOR Chris Harrison
ametoa masikitiko yake kuhusu kifo cha nyota mwenzake na kuwapa pole familia
ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu.
EmoticonEmoticon