LULU LIVE ALIPO KABIDHIWA TUZO YAKE




Hatimaye Lulu amepokea ile tuzo yake aliyo shinda kweye ZIFF kule Zanzibar kama msanii bora wa kike katika filamu za kiswahili. Hongera sana Lulu keep up the good work
Previous
Next Post »