Elizabeth Michael (Lulu) ashinda tuzo ya Best Actress in Swahili Movies kwenye tuzo za ZIFF

Elizabeth Michael (Lulu) ashinda tuzo ya Best Actress in Swahili Movies kwenye tuzo za ZIFF
 
Habari tulizozipata muda si mrefu zinasema kuwa mwanadada Elizabeth Michael ama LULU ameshinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike katika tuzo zinazoendelea za ZIFF huko Zanzibar kupitia filamu ya woman of principles. 
Habari zaidi za washindi wengine wa tuzo hizo utazipata hapa hapa zikiwa tayari
Previous
Next Post »