Godwell ole Maing'ataki Mratibu Mradi wakuboresha mtandao wa maeneo yaliohifadhiwa (SPANEST) akiwasilisha mada katika mkutano wa kujadili mbinu za kutokomeza ujangili wa Tembo katika hifadhizote Tanzania
Dr Christopher Timbuka Mhifadhi mkuu hifadhi ya Ruaha akiwasilisha mada katika mkutano wa wadau wa uhifadhi wanyama poli katika ukumbi wa siasa ni kilimo manispaa ya Iringa
Julias Kibebe Meneja wa pori la akiba la lungwe akiwakilisha mada katika mkutano wa wadau juu ya uhifadhi na kutokomeza ujangili wa Tembo nchini Tanzania.
Picha na Said ng'amilo(mjengwablog)
EmoticonEmoticon