MAIMARTHA JESSE:KUNA MFANYA BIASHARA ANANITANGAZIA UPUUZI KWA WATU



 Nimechoka jamani ,,,,,,,, kuna kibibi fulani nilisha wahi kufanya nacho kazi zamani kwenye kimwana kibibi hiki nimekivumilia kwa roho moja nikiwa kama mkristo nisiye na papara,kibibi hiki kimekuwa kikinitusi mimi kila kona ,

eti  kisa tuna show wote jumapili hii date:30-06,,kwanza ujue mm na wewe ni tofauti maandazi weweeee,niache nijitafutie unataka nili kwako,hao wanamuziki wako wenyewe hauwah
eshimu na wanajkupa pesa ya kuish mjini hapa kwangu ntakunyooosha na uzee wako.
jamani hakuna asiyefahamu umuhimu wa kujitafutia kipato kwa njia halali sasa tangu nimetangaza shindano langu la kuwainua wakina dada "Kigoli'
basi huyu bibi amekuwa halali ananitusi kila kona anahitaji nini kwangu waungwana embu mnisaidie? kuna siku alidiriki kunituktna matusi makubwa mbele za watu jamani ni haki??????
yeye anamiliki bendi huenda labda ananifananisha na wanamuziki wake hapana niheshimu kama mm nnavyo kuheshimu kama nnavyowaheshimu watendaji wako wewe wa wapi
unakwenda kunisema vibaaya unanitukana tena acha mara moja kabla cjakuchukua hatua za kisheria. kama wewe kweli mwanamke mnunulie gari mwanamziki wako zailu tummbu gari kafanya kazi kwako miaka 14 unahangaika na yangu? usihangaike na ya maimartha saana utasahau ya bendi .au unataka nn niache nimekuheshimu wewe haukuniheshimu ukiendelea ntakutaja.........kwanza hauna adabu unanisema mm wakati mimi ni shabiki wako wa bendi ni maajabu
Previous
Next Post »