WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA (ALAT) ARUSHA

 

IMG_3971 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Singida  Mashariki, Tundu Lisu kwenye uwanaj wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili  May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.Katikati ni Mbunge wa Igalula  Athumani Mfutakamba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_3982 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana Spika wa Bunge mama Anne Makinda  kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili  May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.Katikati ni Mbunge wa Igalula  Athumani Mfutakamba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_4055 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia  (kushoto) na Mwenyekiti wa ALAT , Dr. Didas Masaburi baada  ya kufungua mkutano Mkuu wa   ALAT  kwenye Ukumbi wa Sundown Carnival jijinii Arusha, May 9,2013.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous
Next Post »