Waimbaji wa muziki wa injili nchini watajwa kuwania tuzo za Groove Awards 2013

 

page

 

Waimbaji wa muziki wa injili nchini Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Rose Muhando na Upendo Nkone wametajwa kuwania tuzo kubwa zaidi za muziki wa injili za nchini Kenya, Groove Awards 2013.

 

Waimbaji hao wote wametajwa kwenye kipengele kimoja cha ARTIST OF THE YEAR (TANZANIA).

 

Previous
Next Post »