Watangazaji wa Nuru FM kutoka kushoto
Shadrack Mwansasu na Yusta Msowoya kulia wakimpa
pore mtangazaji mwenzao Husein Farahan ambae leo alikamatwa na polisi
wakati akielekea kazini na kuchezea kipigo na kuwekwa rumande
Kichapo kilikuwa kikali kweli asimulia mtangazaji huyo
Mwili wa mtangazaji Husein Farahan ukiwa umevimba baada ya kichapo kutoka kwa askari wa FFU l
Hata hivyo kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda amesema kuwa mbali ya mtangazaji huyo kukamatwa pia wapo askari polisi waliokamatwa kutokana na kutofahamika na kuwa askari hao ni wanachuo ambao wapo mjini hapa kimasomo japo kwa sasa wameachiwa huru.
Kamuhanda amesema kuwa waliokamatwa hadi saa 3 usiku walikuwa ni watu zaidi ya 100 na kuwa baadhi yao wameachiwa na wanaoendelea kushirikiliwa ni 80 na kesho leo watafikishwa mahakamani
EmoticonEmoticon