HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA NA MAPENDEKEZO YA KUGAWANYWA KWA MKOA WA MBEYA:



 Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya limetoa mapendekezo yake ya Kuugawanya Mkoa wa Mbeya kama ifuatavyo:

A:MKOA WA MBEYA
...

1.Mbeya Mjini
2.Mbeya Vijijini
3.Mbozi
4.Momba
5.Chunya
6.Mbalali

B.MKOA WA KIWIRA

1.Rungwe
2.Kyela
3.Ileje
4.Busokelo
*Baadhi ya Kata za Mbeya Vijijini zitaenda Mkoa wa Kiwila.

-Pia Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeomba kuongezewa Kata za Mbeya Vijijini.

i.Ihango
ii.Utengule
iii.Nsalala
iv.Itewe
v.Ijombe

-Pia Wilaya ya Mbeya Vijijini izae Wilaya ya Tembela.

*HAYA NI MAPENDEKEZO TU YANAYOPELEKWA NGAZI YA JUU YA VIKAO VYA DCC NA RCC.
Previous
Next Post »