GARI YA MDAU WA ENDLESS FAME YA WEMA SEPETU YAPATA AJALI MBAYA ONA PICHA




1. 1 2. 2 3 4
Picha zaidi hapa5 gali la wema

 Gari ile ile ambayo walitupia kibendera cha logo ya kampuni ya Wema Sepetu “Endless Fame” wakiwa kwenye safari ya kuelekea Dodoma kwenye launching ya new season ya Clouds FM. Siku chache zilizopita lapata ajali mbaya na mtu aliyekuwa ndani yake alipata majeraha kadhaa..gali hilo ambalo mara nyingi linatumiwa na PetitMan  coordinator wa Endless Fame lakini siku ya ajali hakuwepo ndani yake na aliyekuwa anaendesha ni jamaa anaitwa Robby. Cheki hapo chini picha ya kwanza ikimuonyesha Wema pembeni ya hilo gali na hapo chini baada ya kupata ajali.
Previous
Next Post »