Jay-Z, Beyonce
Ruma hizo zilianza baada ya Beyonce kupita kwenye RedCarpet ya Met Gala baada ya kuvaa vazi la Givenchy, ambalo limuonyesha vizuri tumbo lake, lilivyo jaa juu ya kiuno. Lakini ilikuwa kazi kidogo kuwa ni kweli ni mjazito. Ruma zilianza tena siku ya Jumanne kuwa anamimba baada ya kushindwa kuperform show yake Mrs Carter nchini Belgium. Baada ya kushauriwa na daktari wake kuwa ampumzike kwa ajili ya afya yake pamoja na mwili wake kutokana na uchovu mkubwa alikuwa nao.

EmoticonEmoticon