Viongozi na wanachama wa Jumuia ya wanawake wa 
chama cha CNDD – FDD (A’bakenyera Rugamba cha nchini Burundi 
wakiwapokea kwa mbwembwe na vifijo msafara wa viongozi wa jumuia ya wanawake wa 
CCM (UWT) waliofanya ziara ya ujirani mwema nchini 
Burundi
Kiongozi wa kikundi cha mradi wa ukamuaji 
mafuta ya mawese cha kina mama wa A’bakenyera Rugamba katika kijiji cha Kalindo, 
tarafa ya Kinyinya mkoa Ruyigi, Niragira Harieth akitoa maelezo kwa msafara wa 
ujumbe wa viongozi wa UWT mkoa kigoma waliokuwa katika ziara ya siku tatu ya 
ujirani mwema nchini Burundi.
Raisi wa Chama cha CNDD – FDD Mkoa Ruyigi 
nchini Burundi, Ngerageze Egide (wan ne kutoka kulia) akiwa na viongozi wa 
jumuia ya wanawake ya CCM (UWT) mkoa kigoma wakitembelea maeneo mbalimbali 
nchini humo wakati ujumbe huo uliokuwa ziara ya ujirani mwema nchini Burundi (wa 
pili kulia) ni Mjumbe wa baraza kuu la UWT Taifa Josephine Hosea ambaye alikuwa 
kiongozi wa msafara
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
 



EmoticonEmoticon