JIONEE PICHA KADHAA ZA LORI LA MAFUTA JINSI LILIVYOPONEA CHUPU CHUPU KUZAMA MTO WAMI!

 

.


.

.
.

.
.
Ripoti ya mtangazaji wa Radio One na ITV Reuben Mchome kupitia mchomeblog.com imearifu kwamba ajali hii ilitokea Mto Wami baada ya tela la lori hili la mafuta kukatika na kuponea kwa asilimia ndogo sana kuzama kwenye mto huo ambao kwenye ripoti kadhaa umeripotiwa kuwa na Mamba. Mpaka lori hilo linaondolewa kwenye eneo la ajali, maelfu ya abiria walikwama kwa muda wa zaidi ya saa sita ambapo kwa pande zote mbili watu walilazimika kusubiri na foleni ilikua kubwa sana pia. Mwaka jana kulikua na taarifa ya lori la mkaa kugonga kuta za mto huo na kuzama huku likiwa na kondakta wake pamoja na dereva waliodaiwa kufariki.
Previous
Next Post »