HII NDIO BARUA YA ZITTO KABWE KWA UONGOZI WAKE INAYOHUSU SUALA LA LWAKATARE


zitto kabwe ameandika barua kwa katibu mkuu dr slaa akitaka mambo mawili yafanyike ..

1.Lwakatare achunguzwe na chama 
2.Lwakatare ajiuzulu nyadhifa zote alizokuwa nazo ndani ya chama 
3. Ushauri huu usipofanyiwa kazi atafanya maamuzi magumu yatayokigharimu chama zaidi.

Taarifa zaidi kutoka ndani ya vyanzo zinaeleza kuwa kitilla mkumbo naye ameandika barua kama ya zitto lakini yeye anataka lwakatare atoswe kwa sababu ameshachafuka ili kukinusuru chama...


Taarifa zaidi zinaeleza kuwa ushauri huu umesababisha mtafaruku na mgawanyiko mkubwa ndani ya uongozi wa taifa kwani baadhi wanapinga ushauri na wengine wanaunga mkono.
Wanaopinga wanadai kuwa lwakatare alikuwa kazini hivyo lazima chama kimlinde hadi dakika ya mwisho..

 Hata  hivyo,Leo  Zitto  Kabwe amezijibu  tuhuma  za  barua  hii  akiadai  kushangazwa    jinsi  barua  hii  ilivyovuja  na  kuishia  kusema  kuwa  kuna  kirusi  ndani  ya  chama  chao

Source:Jamii Forums
Previous
Next Post »