PICHA ZA YALIYOJIRI KATIKA ZIARA YA DK CHENI TANGA

 
http://2.bp.blogspot.com/-ejoCZpsa2fE/UTdfvaW2BoI/AAAAAAAAB0k/-XpTWx6rMhw/s1600/CHENI.jpg
Dr.cheni na Masai Nyotambofu na Mtangazaji wa Breez Fm Radio Leila Tot
Dr.cheni na Masele Cha Pombe na Mtangazaji wa Breez Fm Radio Leila Tot
Dr.cheni Masele Cha Pombe wakiwa kwenye Pozi.
Dr.cheni na Masai Nyotambofu
wakiwa kwenye Pozi.
Msanii wa bOngo Movie Dr. Cheni alifanya Safari Mpaka Tanga Kwa Ajiri ya Shughuli za Huku Na Huku na kuamua Kufunga Safari ya Moja Kwa Moja Mpaka kwenye Kundi la Magwiji wa Kuchekesha la VITUKO SHOW Chini ya Al-YamayProduction Limited Liliweka Kambi yake ndani ya Tanga
Dr.Chein alipata Muda wa Kuonana na Gwiji la Lugha Ya Kimasai East Africa Yote Gilliady Severine a.k.a Masai Nyotambofu Pamoja na Masele cha Pombe

Dr. Chein aliwasili Asubuhi na Mapema na Kuanza Kupiga Story na Wachekeshaji Hawa,Hakuwa Peke Yake Pia alikuwa sambamba na mtangazaji wa BREEZ Fm Radio ya Tanga mjini
DR.Chein alifurahi kuonana na Mchekeshaji Masai NyotaMbofu Kutokana na Uwezo wake wa Kuigiza Lugha Ya Kimasai kwa Hali ya Juu.Masai Nyotambofu ni Msanii wa Kuigiza katika Kundi machachali la VITUKO SHOW Chanel 10
Pia Masai Nyotambofu ni Director wa Blog Yake Machachari Kabisa ya masainyotambofu.blogspot.com ambapo kawa Ajiri Zaidi ya Ma Administrator wanne kuifanya Site yake iendelee Kushika Chati
Dr. cheni alipata Muda wa Kupiga Nao Story Karibu Saa Nzima na Baada ya Hapo aliendelea na Ratiba Zake Ndogodogo Hapo Jijini Tanga.
Previous
Next Post »