PICHA ZA AJALI YA GOROFA LILOANGUKA POLENI SANA NDUGU ZETU


Imetokea leo hii dakika Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar), Inasemekana Watu wapatao 60 walikuwepo ndani yake.. watoto wa Madrassa walikuwemo katika jengo hili na pia mpaka sasa maiti zilizoopolewa ni 14 na majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa hospitali, Bado pia kuna baadhi ya watu hai ndani yake.

Jitihada za uokoaji zimeanza kufanyika, Waziri Nchimbi tayari amekwishafika eneo la tukio mpaka sasa japo kuna uhaba wa vyombo vinavyostahili kushughulikia hali hii.

Previous
Next Post »