LINEX NA MCHUCHU WAKE


Mkali kutoka kigoma anaetamba na nyimbo zake tofauti kama aifola na mahakama ya mapenzi hivi karibuni ameweka wazi mahusiano yake na mtoto wa kizungu kupitia ukurasa wake wa facebook mkali huyo ametoa picha yake hiyo hapo juu akiwa na mrangi rangi huyo na akaandika 'Usiulize huyu nani we pigia mstari', Macoment kama mia hivi yalimwagika yakisema tunajua huyo ndio shemeji yetu,wengine mtoto safi, wengine ngozi ya ukweli hiyo no stress.hyperman hk ikavuta uzi kwa sunday mjeda kujua kuna mipango gani kati yao, mzazi akasema soon ataondoka na mtoto kwenda kujitambulisha kwa wazazi baada ya hapo ndio atasema kinachofataaaa.

Previous
Next Post »