
Mheshimiwa Godswill Akpabio

Toyota Suv 'Prado' - Hii ndiyo model ya ndinga ambazo Mheshimiwa atawakabidhi maharusi |
Kutokana na kitendo hicho, watu mbalimbali wamekuwa na mawazo tofauti hasa ukizingatia kuwa, gharama za vitu vyote hivi ni kutoka kodi za wananchi wa kawaida wa jimbo la Akwa Ibom Naijeria.
EmoticonEmoticon