HUU NDIO UTAJIRI WA RAIS MPYA WA KENYA....AONGOZA KWA UTAJIRI KWA MARAIS WA AFRICA



Rais mpya wa Kenya ndiye Rais Tajiri kuliko wote katika Africa:-
1. Anashika Nafasi ya 26 kwa utajiri katika Africa na kushika Nafasi ya kwanza kwa Marais wa Africa, akiwa na USD $ 500,000.00
2. Ana Heka 500,000 za Ardhi ambayo ni yake aliyorithi toka kwa Baba yake, aliyekuwa Rais wa kwanza wa Kenya.
3. Anamiliki Kampuni kubwa ya Maziwa na Nyama kuliko zote Kenya, Brookside Dairies Inc. pamoja na TV Station kubwa kuliko zote Kenya ya K24 TV na pia na Bank kubwa sana Kenya.
Previous
Next Post »