Happy Bday Cousin.MwanaFA

 

March 13 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii wa Bongo Flava Hamisi Mwinjuma ( MwanaFA ) na kama ilivyo ada kama wasemavyo waandishi wa Habari wanaotangaza taarifa ya Habari Ndoo za kutosha zilimkumba MwanaFA.
HAPPY BDAY MwanaFA. Chukua nafasi hii kumtakia sikukuu ya kuzaliwa.
Ay Akimwagia Soda FA. Dah Noma Kweli MShikaji Wangu
Ay, FA, Salama & Sallam @ Elements
Previous
Next Post »