Uncategories
Juliana Shonza ajiunga CCM
Juliana Shonza ajiunga CCM
Anonymous
08:49
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA, Juliana Shonza ajiunga CCM rasmi mchana huu.
Dr J.Kikwete ampokea rasmi muda huu,,!!
pichani ni Juliana shonza akiwa kwenye mavazi ya CCM muda huu dodoma
EmoticonEmoticon