ACTRESS RACHEL MWANZA FROM CONGO AVAA VAZI LA KITENGE KATIKA TUZO ZA OSCARS 2013


 
Actress kutoka Congo Rachel Mwanza alitinga vazi la kitenge au kwa jina lingine africa magharibi wanaita ankara. Rachael alikuwa katika tuzo hizo baada ya filamu yake aliyoigiza WAR WITCH kuwa nominated katika tuzo hizo. Hata hivyo Rachel alitajwa kama mmoja wa celebs waliovaa vibaya katika red carpet(worst dressed) kwa mtindo wa vazi lake kutokumkaa vizuri licha ya kuwa vazi zuri la kiafrika. But licha ya kuwa mara yake ya kwanza kuhudhuria Tuzo hizo kubwa duniani actress huyo alionyesha kujiamini sana katika kutukuza utamaduni wa kiafrika maana hata nywele zake zilikuwa rasta ambazo hutumiwa zaidi na wanawake wenye asili ya Afrika. Katika tuzo hizo Rachel Mwanza aliambatana na Director wa Hollywood Kim Nguyen.
Great congrats to Rachel who represented African prints there but next time find good African designer to rock again in African prints . We are proud of you Rachel
Previous
Next Post »