Matumizi ya iPad usiku husababisha maradhi ya moyo

 

 
 
iPad ni komputa ndogo ya mkoni hii inatengezwa na kampuni ya Apple Ipad yakanzwa ilinza kuuzwa tarehe 3 April mwaka 2010 NA iPada ya kisasa zaidi imetolewa tarehe 2 novemba mwaka huu wa 2012.
Ipad inaweza kupiga picha ya video, picha ya kawaida , kucheza muziki , kuzuru mtandao na mambo mewngi tu.
Lakini ujajua kwamba ukiwa na tabia ya kutumia Ipad usiku usiku huenda ukapatikana na matatizo ya moyo au msongo au kudorora kwa afya, yaani depression?
Utafiti pia unasema kuwa ukiwa na tabia ya kuangali televisheni hadi usiku mpevu kila mara basi unakaribisha maradhi ya moyo au depression.-kudorora kwa afya.
Profesa Samer Hattar anasema wa Marekani anasema utafiti umegundua kuwa televisheni na komputa ya iPad inatoa mwanga usistahili wakati mwili unahitajika kulala.
Hivyo kutumia iPad na televisheni usiku sana inaweza kusababisha maradhi ya moyo au mtu kukosa raha maishani au kutompenda starehe au mkuwa mtu pweke, kutumia iPad au televsiheni kila mara usiku sana kunasababisha upweke.
BBC
Previous
Next Post »