Wanahabari toka Iringa,Njombe, Rukwa, Mbeya, Lindi na Mtwara wakiendelea na survey
SIO
MAANDAMANO NI Wanahabari toka nyanda za juu kusini wakifanya survey
katika maeneo ya Manispaa ya Iringa baada ya mafunzo ya sensa yaliyodumu
kwa muda wa siku mbili.
Mwenyekiti
Iringa Press Club Mwangosi akiwaongoza wanahabari wengine katika maeneo
mbalimbali Iringa kufahamu jinsi ya ufanyaji wa sensa kutumia ramani

Mkufunzi toka Taasisi ya Takwimu akitoa mada katika semina ya wanahabari




EmoticonEmoticon