Rapa Lil Kim amepost selfie iliyoshtua watu kwenye mitandao
baada ya kumuona Lil Kim mwenye miaka 41 akiwa na muonekano wa mtoto wa
miaka 17.
Wasanii kibao wameanza kuongelea muonekano wake huku wakiponda
harakati zake alizofanya ndani ya miaka kumi kwa kubadilisha uso wake
haswa kwenye pua na kidevu.
EmoticonEmoticon