Sheikh Issa Ponda akiwa mahakani mkoani Morogoro leo asubuhi .
Sheikh Ponda amesomewa mashtaka matatu katika mahakama ya morogoro likiwemo la uchochezi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyoka ogasti 10 ambapo inadaiwa alisema 'Ndugu waislamu msikubali uundwaji wa kamati za ulinzi na usalama za misikitini kwani kamati hizo zimeundwa na Bakwata ambao ni vibaraka wa serikali'
Sheikh Ponda amefikishwa mahakamani hapo chini ya ulin
zi mkali
akisindikizwa na msafara wa magari yaliyokuwa na polisi.
Ponda amesafirishwa kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mkoani Morogogro
kwa usafiri wa h elkopta iliyotua katika viwanja vya Gymkhana.
Sheikh Ponda akiondoka mahakamani baada ya kusomewa matatu na kesi yake imeahirishwa hadi tarehe 28/8/2013.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa mahakamani hapo leo
EmoticonEmoticon